Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

BIG SASA YUKO LOCATION KUANDAA MOVIE YA KIBAKULI


MSANII wa Filamu maarufu kwa jina la Big amesema
sasa yuko msituni kuandaa movie mpya iliyojaa vituko na visa vya mtafaluku wa
familia vyenye burudani na mafundisho Lukuki.

Big amesema tayari wako
Location kuandaa movie hiyo inayoshirikisha mastaa lukuki wanaolitikiza jijini,
Nchi na Ulimwengu wa Filamu za Kibongo kwa Ujumla.

Amesema wapenzi na
mashabiki kaeni mkao wa kuangalia movie hiyo itakuwa sokono si muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...