Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 26, 2012

SIMBA YAIRARUA ES SETIF YA ALGERIA


Beki wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Amir Maftah, akimdhibiti mshambuliaji wa ES Setif ya Algeria wakati wa mchezo wa kombe la Shirikisho uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa. Katika mchezo huo Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...