Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 29, 2012

AMOSI MAKALLA AKUTANA NA WASANII

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla kushoto akizungumza na wasanii mbalimbali Dar es salaam jana juu ya ulasimishwaji wa kazi za sanaa ifikapo mapema mawkani Picha na www.burudan.blogspot.comBaazi ya washiriki wa mkutano huo kutoka kulia ni Hadija Khalili wakifatilia matukio mbalimbali

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla kushoto akizungumza na wasanii mbalimbali Dar es salaam jana juu ya ulasimishwaji wa kazi za sanaa ifikapo mapema mawkani Picha na www.burudan.blogspot.com
Msanii wa mziki wa Injili akizungumza kwa uchungu mbele ya Naibu waziri jana

Msanii wa Filamu Jacob Stevin JB akizungumza wakati wa mkutano huo Picha na www.burudan.blogspot.com
Mmoja wa wasinii akitoa dukuduku lake mbele ya Waziri

Wasanii wakitoa dukuduku kwa Naibu Waziri

Mkurugenzi wa THT Ruge Mutahaba akizungumza wakati wa mkutano huo jana picha na www.burudan.blogspot.com
Mzee ubao akitoa Dukuduku lake

Msanii Chemundugwao akichangia hoja kulia ni mkurugenzi wa Radio Times Rehule Nyaulawa

Baazi ya wasanii wa Injili wakifatilia mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...