Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 31, 2012

RAIS WA ZANZIBAR ATUMA SALAMU ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2013Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk Ali Mohamed Shein, akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka mpya wa 2013,kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela kushirikiana   na Serikali yao katika kuendeleza mipango mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa walinzi wa rasilimali pia kuzingatia taratibu za kisheria, kwa kuwa na elimu bora ya rasilimali hizo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...