Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 22, 2012

TAIFA STARS YACHAPA 1-0 CHIPOLOPOLO YA ZAMBIA.
 Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars, Mrisho Ngasa na Amri Kiemba wakishangilia bao la kwanza na laushindi lililofungwa na Mrisho Ngasa dakika ya 45 kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Taifa Daes Salaam
 Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakishangilia kwa staili mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond
 Wakifurahia bao la kwanza lililofungwa na Mrisho Ngasa
 Wachezaji wa timu Taifa Stars wakitoka mapumziko kifua mbele wakiongoza bao 1 na la ushindi wakati wa mechi dhidi ya Chipolopolo ya Zambia
Baadhi ya Umati wa Watu wakishuhudia mechi dhidi ya Taifa Stars na Chipolopolo ya Zambia ambapo Taifa Stars wameshinda 1-0.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wakimpongezi mfungaji wa bao la pekee Mrisho Ngasa, kwenye mchezo wa kirafiki kati ya ya timu hiyo na timu ya taifa ya Zambia (Chipolopolo) kwenye mchezo uliomalizika hivi punde.
Mchezaji Kiungo wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mwinyi Kazimoto (Fundi) akimtoka beki wa Timu ya Taifa ya Zambia kabla ya kumpa pasi Mrisho Ngasa na kusukumiza shuti kali kwenye lango la timu hiyo na kuipatia taifa Stars na kuibuka washindi kwa goli hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...