Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 21, 2012

TTCL YATOA MSAADA KATIKA VITUO VYA YATIMA


Add caption

.
 Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya TTCL, Charles Nkombelwe, akimkabidhi msaada wa vyakula mtoto Imani Seleman wa kituo cha Yatima Group cha Chamazi.
 Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya TTCL, Charles Nkombelwe akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula mtoto, Khitami Abbasi wa kituo cha Dar Al Alkam cha Tandika. Katikati ni Abdallah Mohamed. Jumla ya vikuti 3 vilikabidhiwa msaada wa vitu mbalimbali na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za sikukuu ya krismasi na mwaka mpya.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa vituo vilivyopata misaada leo kwa ajili ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
Sehemu ya msaada wa vitu vilitolewa leo na TTCL kwa vituo vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...