Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 24, 2012

IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA NAMNA YA KIPEKEE

Tofauti na mastaa wengine ambao huangusha party ya nguvu kusherehekea siku zao za kuzaliwa, hivi karibuni Irene Uwoya aliamua kufanya kitu tofauti katika siku yake ya kuzaliwa, December 18.

Muigizaji huyo mrembo aliamua kwenda kwenye hospitali ya Mwananyamala kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa ikiwa ni pamoja na kuwafariji.You might also like:

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...