Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 24, 2012

ZAWADI ZA RAIS KWAAJILI YA SIKUU KWA KITUO CHA WAZEE CHA NUNGE KIGAMBONI ZAKABIDHIWA.


Kamishina Msaidi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Rabikila Mushi  (kushoto) akikabidhi mbuzi 2 waliotolewa na Mh. Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya sikukuu ya krismasi kwa Ofisa mfawidhi wa kituo cha kulelea wazee cha Nunge kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kulia ni mhudumu wa afya kituo hicho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...