Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 20, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHII YA KABOYONGA


Baadhi ya waombolezaji wakielekea makaburini wakati wa mazishi ya mbunge wa zamani wa Tabora mjini, marehemu Siraju Juma Kaboyonga katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Siraju Juma Kaboyonga.
Rais mstaafu Ali Hassani Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Siraju Juma Kaboyonga wakati wa mazishi yake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...