Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 19, 2012

TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA YAWASILI NCHINIWachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia wakiwasili jioni hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, tayari kwa mechi ya kirafiki ya Kimataifa dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. (NA MPIGAPICHA WETU)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...