Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 27, 2012

JAHAZI MODERN TAARAB WAUPAMBA USIKU WA 'BOXING DAY' DAR LIVE

MzeeYusuf akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live usiku wa 'Boxing Day'.
Mke wa Mzee Yusuf, Leila Rashid, akizikonga nyoyo za wapenzi wa taarab usiku wa kuamkia leo.
Khadja Yusuf akiwachizisha wapenzi wa taarab ndani ya Dar Live.
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Fatma Mahmoud 'Mcharuko' akiwapa raha mashabiki.
Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo kali kutoka Jahazi Modern Taarab.
Mzee Yusuf akiongea na mashabiki wake.
...Khadja Yusuf kazini.
Bi. Leila Rashid akiendeleza makamuzi.
Mzee Yusuf akizidi kukoleza burudani ndani ya Dar Live.
Wapenzi wa taarab wakijiachia kwa raha zao na Jahazi.
Sehemu ya nyomi iliyotia timu mahali hapo.
---
Kundi la Jahazi Modern Taarab chini ya kiongozi wake, Mzee Yusuf ' Mfalme' usiku wa 'Boxing Day' lilifanya makamuzi ya nguvu ndani ya ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam na kuzikonga nyoyo za wapenzi wa taarab waliofurika mahali hapo. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukia nafasi wakati wa shoo hiyo.PICHA: ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS / GPL

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...