Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 29, 2012

TRELA LA LORY LATEKETEA KWA MOTO MCHANA


Trela la lori lililokuwa limebeba mafuta likiteketea kwa moto mchana huu eneo la Kibamba Darajani jijini Dar es Salaam.haijafahamika mara moja chanzo kutokea kwa moto huo.
Kushoto ni baadhi ya wananchi wa eneo hilo lakIbamba wakishudia Trela la Roli likiteketea kwa moto.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...