Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 24, 2012

SHEREHE ZA MAHAFALI YA 10 YA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TIA).


Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Jengo Jipya la Utawala la  Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Barabara ya Kilwa Dar es Salaam Desemba 22 -2012.
Wakufunzi wa Taasisi hiyo wakienda uwanjani.
Waadhiri wa Taasisi hiyo wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.
Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (katikati), akiwa mbele ya jengo hilo baada ya kulifungua rasmi. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi hiyo Profesa Isaya Jairo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Shah Hanzuruni.
Hongereni sana!
Kikosi cha Bendi ya Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.

Wapiga picha wakichukua matukio mbalimbali ya mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...