Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 20, 2012

TIGO YACHEZESHA DROO SMARTCARD WASHINDI 10 WAJIZOLEA ZAWADI IKIWEMO SAFARI YA KWENDA CHINA Meneja Intanet wa Tigo Titus Kafuma (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Tigo kuchagua washindi wa mwisho wa mwaka wa droo ya Smartcard na Ascend Y200 ambapo alisema droo hizo zitashuhudiwa na kuendeshwa na Bodi ya Taifa ya Bahati Nasibu na kuwa tunapoelekea msimu huu wa Sikukuu, Tigo inafurahia kuwa sehemu ya kusherehekea na washindi. Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa Bw. Humudi Abdulhusein na kulia ni Tuli Mwaikenda.
Meneja Intanet wa Tigo Titus Kafumaakiongea na wanahabari kuwaelezea juu ya zawadi zilizotolewa katika droo hizo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...