Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 22, 2012

WALA KIPONDO BAADA YA DILI YA UTAPELI KUSANUKA MJINI BUKOBA.Watu wawili  Mwanaume na mwanamke wanaotuhumiwa kwa Utapeli wameambulia kichapo kikali  kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kugundulika  wanataka kumtapeli Mama mmoja kwa kutumia mbinu ya kumuonyesha DHAHABU FEKI kwa madai kwamba wao ni wageni mjini Bukoba na wanahitaji msaada wa pesa wao wakupe hiyo dhahabu ikiwa imefungashwa kwenye kifuniko angavu na kitambulisho cha udhibitisho,kama utakavyo ona pichani.
Baada ya kuchezea kipigo cha wananchi wenye hasira.
Uthibitisho wao matapeli!
Akipandishwa kwenye Gari la Polisi.
Mshirika mwenzake nae akipandishwa! Picha zote kwa Hisani ya Bukoba Wadau.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...