Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 26, 2012

FM ACADEMIA YAPAGAWISHA MASHABIKI WAKATI WA PROMOSHENI YA BIA YA WINDHOEK Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakishambulia jukwaa wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek, iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismasi  usiku wa jana jijini Dar es Salaam. Bendi hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Wine kupitia kinywaji chake cha Windhoek. 
 Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kushoto) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo wakati wa promosheni ya bia ya Windhoek iliyofanyika katika ukumbi wa Alcade.
 Wanenguaji wa FM Academia wakishambulia jukwaa, wakiongozwa na Aaliyah.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...