Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 19, 2013

BOB JUNIOR AZIDI KUKUBALIKA ULAYA, KUPIGA SHOW DENMARK MWEZI HUU.
Baada ya kupiga shows katika nchi kadhaa Europe kama Holland, Norway and now yupo Germany, Tanzanian Bongofleva singer Bob Junior ambaye anatamba na nyimbo kibao amepata mchongo mwingine wa kupiga show nchini Denmark ili kuwapa burudani mashabiki wake wa huko. Akichonga na swahiliworldplanet kutoka pande za mamtoni Bob junior alikiri kuwa na show nchini humo tarehe 29 mwezi huu "yah nipo na show denmark tru dat 29 march". pia chanzo kimoja kutoka Denmark kimekiri Bob Junior kuwa na show hiyo.

Kila la kheri bob Junior kwa kuzidi kupaa kimuziki na kuitangaza vyema bongofleva huko Europe.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...