Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 21, 2013

TTCL YAZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA

Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. akizungumza

Wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakimsikiliza kwa makini Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa.

Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akipata maelekezo baada ya kuzindua


 Ofisa Masoko Mkuu na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akizungumza wakati wa uzinduzi wa uzinduzi wa Kituo cha Huduma kwa Wateja katika eneo la Kamata jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa.
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizindua Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Kampuni ya TTCL leo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...