Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 18, 2013

MWAKAREBELA CUP YAFANA IRINGA ,BINGWA APATIKANA


  Mdhamini  mkuu  wa mashindano  ya  Mwakarebela  Cup 2013 ,aliyepata  kuwa mgombea  ubunge  jimbo la Iringa mjini  kupitia CCM mwaka 2010 Frederick Mwakarebela  (kulia) akikabidhi  zawadi
 Mfungaji  bora kassim Mataka akipokea  kiteta  cha Tsh 40,000 kwa ajili ya  kununua kiatu cha michezo toka kwa Mwakarebela ambae ni mdhamini  mkuu  wa mashindano hayo
 Mfugaji  David Mhanga  akipokea  pia  Tsh 40,000 kama mfungaji bora
 Kepteni  wa Mshindo  FC  akipokea  mipira  mitano   moja kati ya  zawadi ambazo bingwa alipata  zikiwemo  fedha  taslimu Tsh 500,000 na kombe  la kisasa

 Waamuzi  wakipokea  zawadi  zao

 Umati  wa  mashuhuda wa mashindano hayo
 mashabiki wa Magereza Fc  wakishangilia  pamoja na kufungwa  ,timu yao  ilichukua nafasi ya pili na kujinyakulia Tsh 300,000 na mipira mitatu  wakati  mshindi  wa  tatu  Mtwivila alipata  mipira mitatu  na  timu  yenye nidhamu Tsh 100,000
 Msanii maarufu  wa muziki wa kizazi kipya  akiimba wimbo maalum  wa  kutambua mchango  wa Mwakarebela  katika maendeleo ya  jimbo la Iringa mjini
 
Habari  kamili  inakuja  hivi  punde

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...