Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 29, 2013

COSMAS KIBUGA KUZICHAPA NA SWEET KALUU JUMALIPILI HIIBondia mwenye makeke mengi na asiyekubali kushindwa ulingoni na , Cosmas Kibuga, anatarajia kupanda ulingoni siku ya jumapili wiki hii katika ukumbi wa Texas Manzese, kuzipiga na bondia mkongwe, Sweet Kalulu, katika pambano la kirafiki la kusherehekea  Pasaka. 
Akilizungumzia pambano hilo muandaaji wa mchezo huo, Miraji Msusa, alisema “burudani yetu ni kuangalia ngumi na kushangilia na najua ngumi nzuri zipo katika hawa mabondia wasio na majina na wenye upinzani mkali ,nikaonelea lazima katika sikukuu hii ya pasaka tusiiache ipite hivihivi bila kupata starehe yetu,  kusubiri mpaka tarehe 7 april kwenye pambano kubwa la pale ccm mwinjuma-mwanayamala  ni mbali, Nikaafikiana na cosmas kibuga na sweet kalulu ambao ni wapinzani mitaani wamalizie kiu yao hiyo''. alisema

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...