Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 29, 2013

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA USAJILI WA ARDHI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) na akizindua   Mradi wa Usajili wa Ardhi, katika viiwanja vya Victoria garden ,Mjini Zanzibar leo,(smole)uliofadhiliwa na Serikali ya watu wa Finland,(kulia) balozi wa Finland Sinikka Antilia,na (kutoka Kushoto) katibu Mkuu na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,na Mrajis wa Ardhi Mwanamkaa A.Mohamed,(katikati)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akimkabidhi hati ya Ardhi Abdulhamid Ismail wa Mji Mkongwe,wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa usajili wa adrhi uliofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akimkabidhi hati ya Ardhi Marium khaidar Mohamed, wa Mji Mkongwe,wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa usajili wa adrhi uliofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Balozi wa Finland Chini Tanzania Bibi Sinikka Antilia,wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa usajili wa ardhi (Smole) uliofadhiliwa na serikali ya watu wa Finland,katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi na masheha wa Wilaya Magharibi,wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa usajili wa ardhi (Smole) uliofadhiliwa na serikali ya watu wa Finland,katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea  zawadi ya picha za visiwa vya unguja na pemba a kuchora kutoka kwa  Balozi wa Finland Chini Tanzania Bibi Sinikka Antilia,wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa usajili wa ardhi (Smole) uliofadhiliwa na serikali ya watu wa Finland,katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar leo,Waziriri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,(kushoto) na Katibu Mkuu Ali Halil Mirza.
Baadhi ya masheha wa Wilaya Magharibi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na masheha hao katika sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa usajili wa ardhi (Smole) uliofadhiliwa na serikali ya watu wa Finland,katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar leo .Picha na Ramadhan Othman,lkulu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...