Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 18, 2013

GRANDMALT YATIKISA KONGAMANO LA KIBIASHARA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI


 Meneja wa kinywaji cha Grandmalt, Consolata Adam, katikati akizungumza na baadhi wa wanavyuo toka nchi tatu za afrika ya mashariki kwenye kongamano la kujadili mambo ya kibiashara liliandaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwashirikisha vyuo toka kenya, uganda na Tanzania, hapa akiwapa faida za kunywa kinywaji cha Grandmalt katika kujenga afya ya mwili na utimamu wa mwili.
 Mratibu wa kongamano la kujadili mambo ya kibiashara liliandaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwashirikisha vyuo toka kenya, uganda na Tanzania bibi ZAHRA KIBOKO toka chuo kikuu cha Dar Es Salaam kitengo cha Biashara akibadilishana mawazo juu ya kinywaji cha GrandMalt na meneja wa kinywaji hicho Consolata Adam,Kushoto kwake ni baadhi wa wanachuo wakimsikiliza kwa makini.
Consolata Adam akiwapatia kinywaji hicho wanavyuo kabla ya kuingia katika awamu ya pili ya majadiliano.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...