Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 29, 2013

DIAMOND ATUA KAHAMA KWA TAYARI KWA SHOO YA NGUVU LEO USIKU
CREW NZIMA YA WASAFI IKIONGOZWA NA PREZDAH
MWENYEWE
SIKU YA LEO ITAKUWA KAHAMA KWA KUKIWASHA NA
KUWEKA HISTORIA
KAMA KAWAIDA YETU....NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA
LEO TUKIWA SAFARINI
KUELEKEA KAHAMA....TOUR HII YA KANDA YA ZIWA
INAENDELEA....
IJUMAA YA KESHO NTAKUWA GEITA,AMBASSADOR CLUB......
JUMAMOSI NTAKUWA BUKOBA LINERS CLUB.....JUMAPILI
NTAKUWA
BUKOBA UWANJA WA KEITABA KUSABABISHA UNYAMA
NINI NA NINI....USIKU
NTAKUWA MLEBA CALIFORNIA CLUB...
JUMATATU YA TAREHE 1APRIL NTAKUWA KARAGWE
KUKINUKISHA NA KUMALIZIA
TOUR YANGU HII YA EASTER KANDA YA ZIWA

Platnum na Mwanagu Mafia Mnyama along side Shem lakeee QBoy...!!Nilipowasili Mwanza Nilikutana na wazee hawa wawili ambao walinifariji kwa kuniambia ni moja ya shabiki zangu...
H
WASAAAAAAAAAFIIIIIIIII....!!!
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...