Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 19, 2013

WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA WAKIWA MAZOEZINI LEOJUMLA ya wachezaji 17 wa taifa stars wamewasili kambini  na kuanza mazoezi kwenyeuwanja wa Karume jijin Dar es Salaam.
Wachezaji waliowasili ni wa Yanga, Simba, Mtibwa na Azam ambao walifungiwa kwa tuhuma za kuhujumu timu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Simba.
Timu hii ipo kambini kujianda na mchezo dhidi  ya Morocco utakaochezwa kati ya Machi 22 na 23 jijini Dar es salaam wa kutafuta kufuzu kombe la dunia 2014.
Akizungumza na Lenzi ya michezo, kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen amesema mazoezi yanaendelea vizuri na wachezaji wana ari hivyo anaamini watashinda mchezo wao dhidi ya Morocco.
Pia amesema wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu watawasili kesho alfajiri tayari kujiunga wenzao kwa mazoezi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...