Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 21, 2013

TUZO ZA KILIMANJARO MUZIC AWARDS ZAZINDULIWA  Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas akibadilishana hati na Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager kudhamini tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kwa miaka mingine mitano mpaka 2018 sambamba na uzinduzi wa tuzo hizo kwa mwaka 2013 huku viongozi wengine wa TBL na BASATA wakipiga makofi. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es salaam leo.

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa tatu kulia), Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza (wa tatu kushoto), Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kulia) pamoja na Maofisa wa TBL na BASATA wakifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam jana.  (Picha kwa hisani ya Executive Solutions)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...