Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 14, 2013

SBL YAZINDUA KAMPENI MPYA YA TUPO POMOJA


 Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya bia ya serengeti ya Tupoo Pamoja na shangwe za mafanikio. (Picha na Habari Mseto Blog) 
 Mkurugenzi wa Masoko wa Bia ya serengeti, Ephraim Mafuru akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mpya ya bia hiyo ya Tupo Pamoja katika shangwe za mafanikio. katikati ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo.
Tangazo la kampeni hiyo.
 Mkurugenzi wa Masoko wa Bia ya serengeti, Ephraim Mafuru akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mpya ya bia hiyo ya Tupo Pamoja katika shangwe za mafanikio.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari pamoja na wadau waliofika katika uzinduzi wa kampeni mpya ya bia ya Serengeti uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...