Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 18, 2013

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 50 WA VISIMA VYA MAJI MPWAPWA

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 50, Mhandisi wa Maji wa kampuni ya DRIMA __ Gound Woter Drilling, Melkion Mhagama kwa ajili ya uchimbaji wavisima 2 vya maji katika vijiji vya Iramba na Lukole Wilayani Mpwapwa hivi karibuni.
Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Nishati  na Madini, George Simbachawene, Meneja wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokela  na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mpwapwa,Alexzanda Nyauringo.

Naibu Waziri wa Nishati  George Simbachawene akiwatambulisha Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo na Meneja wa TBL Kanda ya Kusini, James Bokila
 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Christopher,Kangoye akifurahia jambo mbele ya
wananchi wa vijiji hivyo alipokuwa akiongea nao wakati wa upokeaji wa
msaada wa sh. Mil 50  kwa ajili ya uchimbaji wa visima toka kampuni ya bia TBL
Wananchi wa vijiji hivyo wakifuatia jambo baada ya kupokea msaada huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...