Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 25, 2013

WIZARA YA FEDHA YATOA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII 'BLOGGERS' Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa semina ya siku tatu iliyofanyika maalum kwa wamiliki wa mitandao ya Kijamii (BLOGS) jinsi  Wizara hiyo inavyoweza kufikisha habari kwa urahisi kwa wananchi. Semina hiyo iliyoanza jana na kumalizika kesho ilifanyika Kibaha mkoani Pwani.
 Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blog) wakimsikiliza Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma wakati wa semina hiyo ya siku tatu.
 Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akiwasikiliza maofisa habari kutoka Ofisi ya Waziri na TAMISEMI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...