Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 18, 2013

KIKAO CHA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA KIJIJI CHA BWILINGU, BAGAMOYOMWENYEKITI wa Kijiji cha Bwilingu Chalinze Bagamoyo mkoani Pwani Ally
Mtandikile akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya
kijiji hicho (hawapo pichani) Kikao kilichofanyika mwishoni mwa wiki
kwenye ukumbi wa Nderema uliopo Chalinze, kulia kwake Afisa Mtendaji
wa Kijiji Peter Ikanga na mwisho ni Mkuu wa Kituo cha Polisi Chalinze
ASP Anthony Masanzu. (Picha na MWENGE SAID).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...