Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 1, 2012

KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI SUPER D AWAFUA VIJANA WA KAMBI YA ILALA







Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D (kulia) akimwelekeza bondia Emanuel Malolo jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es salaam jana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)



Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D (kulia) akimwelekeza bondia Said Mtitu, jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Iala Amana CCM, Dar es salaam jana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...