Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 22, 2013

BONDIA WA UZITO WA JUU,Deontay Wilder KUPATA K,O YA 30 JUMAMOSI003WildervictoryIMG 3358 420x280 Deontay Wilder looking for KO No. 30 against Firtha this Saturday

Deontay Wilder 

BONDIA asiyepigika duniani wa  uzito wa juu 'heavyweight'

Deontay Wilder  Mzaliwa wa Alabama, USA ambaye amecheza michezo 29 yote akishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na ya pili aliyejitaidi alifika raundi ya nne na kuambulia kipigo cha KO,

Mbaya sana katika raundi hiyo bondia huyo kwa sasa mwishoni mwa wiki hii atakuwa na kibarua kingine cha kusaka ko ya 30 atakapo pambana na Nicolai Firtha wa Ohio, USA

Katika mpambano wa raundi 10 utakaopigwa katika ukumbi wa Boardwalk Hall, Atlantic City, New Jersey, USA mpambano huo wa

Deontay Wilder wa 30 unaonekana kwa bondia huyo kuwa nyanya kwake kwa kotokana na rekodi ya mpinzani wake na yeye ni tofauti ingawa mpinzani wake amecheza mapambano mengi kuliko yeye

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...