Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 21, 2013

TWARIBU MCHANJO AMGALAGAZA KELVIN MAJIBABondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamboto mzambarauni Dar es salaam Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamboto mzambarauni Dar es salaam Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Twaribu Mchanjo akishangilia ushindi baada ya kumdunda Kelvin Majiba kwa point picha na  www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Emanuel Philomon kushoto akimtwanga makonde bondia Gaspar Hinde wakati wa mpambano wao philomon alishinda kwa K,O ya raundi ya nne Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Abdul Zugo kushoto akipambana na Hassani Manula wakati wa mpambano wao uliofanyika Gongolamboto Dar es salaa mpambano huo walitoka nguvu sawa yani ni Droo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...