Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 26, 2013

KING CLASS MAWE ALIVYO AMTWANGA HASSANI BANDANI KWA POINT


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hassani Bandani wakati wa mpambano wao usio na ubingwa uliofanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es salaam King Class Mawe alishina kwa pointi mpambano uho uliofanyika siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akimshambulia kwa makonde Hassani Bandani wakati wa mchezo wao usio na ubingwa uliofanyika katika ukumbi wa panandi panandi King Class Mawe alibuka na ushindi wa point mpambano uho uliofanyika siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Ibrahimu Class akioneshwa mshindi baada ya mpambano kumalizika mpambano uho uliofanyika siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
KING CLASS MAWE AKIWA NA MMOJA YA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUSHUKA ULINGONI
KING CLASS MAWE KWENYE POZI
Bondia Chalo Issa kulia akipambana na Amour Mzungu wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni Mzungu alishinda kwa pointi mpambano uho uliofanyika siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Shabani Kaoneka kulia akioneshana umairi wa kutupiana makonde na Halid Makwega wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi Kaoneka alishinda kwa pointi mpambano uho uliofanyika siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Halidi Makwega wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda mpambano huo mpambano uho uliofanyika siku ya jumamosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
REFARII AKIMUONESHA MKONO JUU BONDIA SHABANI KAONEKA BAADA YA KUMDUNDA HALIDI MAKWEGA KWA POINT WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI DAR ES SALAAAM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...