Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 28, 2013

VITALI KLITSCHKO AMFUATA PACQUIAO, YEYE ATAKA URAIS


BINGWA wa uzito wa juu wa WBC raia wa Ukraine, Vitali Klitschko anataka kufuata nyayo za bondia mwenzake, Manny Pacquiao wa Ufilipino kwa kujiingiza kwenye siasa lakini yeye anautaka Urais wa nchi hiyo kwenye uchaguzi wa 2015.
Manny Pacquiao pamoja na kuwa mbunge lakini pia anajishughulisha siasa na ni mbunge wa Bunge la Ufilipino, hali ambayo imemvutia Klitschko ambaye mwezi Agosti alisema lengo kubwa ni kuifanya Ukraine kuwa Ulaya, nchi ya kisasa yenye maisha ya kiulaya.

Anasema ataamua na watu wenye mtazamo mmoja, ndoto zinazofanana na kuingia kwenye siasa na kutokea ndani kufanya mabadiliko.

Bondia huyo mwenye elimu ya udaktari kwa kusomea ambapo ana masta yake  ambayo alichukua baada ya kupata elimu ya juu kwa aliji ya kutibia binadamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...