Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 17, 2013

SWALA YA IDI ILIVYOSWALIWA

GHEMBE AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJJ
 Baadhi ya waumini wakiwa katika Swala ya Idd El Haj katika Msikiti wa Makao Makuu ya Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akiwaongoza waumini wa dini ya kiislamu katika Swala ya Idd iliyofanyika katika msikiti wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Waumini wakiwa katika Swala ya Idd El Hajj.
Waumini wakiwa katika Swala ya Idd El Hajj.
Ulinzi uliimarishwa wakati wa swala ya Idd El Hajj
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akiwasili katika Msikiti wa Bakwata, Kinondoni kushiriki  Swala ya Idd El Hajj.  
Waumini wakiswali.
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe  wa pili kushoto akishiriki Swala ya Idd.
Waumini.
Kaimu Mufti wa Tanzania, Sheikh Ismail Habib Makusanya.
Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda (wa pili kushoto) na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova (wa tatu kushoto).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...