Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 18, 2013

KIJANA ANAYETEMBEA NCHI NZIMA KWA BAISKELI KUHAMASISHA AMANI AWASILI MKOANI IRINGAMkuu  wa  mkoa wa Iringa Dk Christine Ishengoma (kulia) akimpongeza kijana Japhet kutoka mkoa wa Mwanza  baada ya kupokelewa mjini Iringa, kushoro ni Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa Gervas Ndaki.
Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki akimpongeza kijana huyo kwa uzalendo.
Kijana Japhet wakati akipokelewa mkoani Iringa.
Safari ya kijana Japhet ilianzia mkoani Mwanza na sasa amefunga mikoa nane  kwa kumalizia mkoa wa Morogoro na malengo yake ni  kutembea nchi nzima hadi ifikapomwaka 2015 awe amefikisha ujumbe wa amani nchi nzima. (PICHA NA FRANCIS GODWIN, IRINGA)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...