Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 18, 2013

RAISI KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA IKANGA KILICHOPO MKOA MPYA WA NJOMBE

Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua  sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
 Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi na mkurugenzi wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited Noel Lindsay Smith baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua  kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...