Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 21, 2013

MTEMVU AWAPATIA WATANZANIA KAZI DUBAI
 Mwenyekiti wa Kituo cha Bravo Job Centre, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi Halima Selemani nyaraka mbalimbali ikiwemo tiketi ya ndege ya kwenda Dubai kufanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili, katika hafla ya kuwaaga iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kituo hicho kimewatafutia wanawake watano kazi ya ndani nchini humo. Kutoka kulia ni Asmah Mshangama, Mwajuma Bakari na Fatma Saburi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mtemvu akizungumza na wanufaika wa kazi hizo pamoja na wadhamini wao
 Mtemvu akifafanua jambo
 Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waliopatiwa kazi Dubai
Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na waliobatika kupatiwa kazi Dubai pamoja na wadhamini wao.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...