Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 24, 2013

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA NJOMBE NA KUELEKEA MKOANI DODOMARais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Mbunge wqa Ludewa Mhe Deo Filikunmjombe, Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe George simbachawene na Naibu Waziri wa Maji Dkt Bilinith Mahenge kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wilayani Ludewa mkoa wa Njombe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa mkoa wa Njombe wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara yake mkoani humo katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe leo Oktoba 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mkoani Dodoma mara baada ya kutua leo Oktoba 23, 2013 akitokea mkoani Njombe alikokuwa katika ziara ya kikazi ya juma moja. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...