Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 17, 2013

RAIS KIKWETE AMPA KARDINAL PENGO MKONO WA IDDI


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimtakia  heri ya Sikukuu ya EID Muathama Polycarp Kardinali Pengo, Nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es Salaam jana. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...