Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 26, 2013

Wanahabari watembelea Azam Tv jijini Dar Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Rhys Torrington akionyesha King'amuzi cha Azam TV kwa baadhi ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) waliopata fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
 Baadhi wa Wakuu wa Idara mbali mbali za Kampuni ya Azam Media wakimsikiliza Mkurugenzi wao.
Wazee wa Kazi ndani ya OB Van la Azam Tv,toka kulia ni Meneja Uzalishaji na Ufundi wa Kampuni ya Azam Media,Mehboob Aladdad,Meneja wa Azam FM na Matukio ya Moja kwa Moja,Yahya Mohamed pamoja na Fundi Mitambo wa OB Van hiyo,Saleh Mansoor (alieketi) wakifuatilia moja ya kazi zao.
OB Van ya Azam TV ikiwa imetulia tayari kwa lolote.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...