Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 26, 2013

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO WA JUMAPILI KESHO


Mabondia Ramadhani Shauli kushoto na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Cosmas Cheka akipima uzito uku Ramadhani Shauli akiangalia mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito uku Cosmas Cheka akiangalia kwa umakini mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
bONDIA mOHAMED mATUMLA AKIPIMA aFYA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO

Mohamedi Matumla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...