Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 24, 2013

NYAMLANI AANZA KAMPENI ZA URAIS KWA KISHINDOMakamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani akielezea mipango yake ya kuendeleza soka nchini endapo katika Uchaguzi Mkuu wa TTF  ujao atachaguliwa kuwa Rais. Nyamlani alikuwa anazungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari alipokuwa akizindua kampeni zake jana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...