Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 22, 2013

WAKAZI WA TABATA SEGEREA WAITIKIA WITO WA KUPIGA PICHA KWAAJILI YA KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA MUDA HUUWakazi wa mtaa wa Migombani Kata ya Segerea wakiwa katika foleni ya kusubiria fomu zao mara baada ya kumaliza kwa hatua ya kupiga picha kwaajili ya kupata Vitambulisho vya taifa muda huu zoezi linaloendelea katika wilaya ya ilala
Baadhi ya wakazi wa Segerea na vitongoji vyake wakiwa katika foleni ya kupiga picha kwaajili ya kupata vitambulisho vya taifa zoezi linaloendelea hivi sasa katika wilaya ya ilala.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...