Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 26, 2013

JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA WATEMBELEA SHAMBA LA MIFUGO LA ASAS DAIRIES LTD IRINGA


 Wahariri wa vyombo mbali mbali  vya habari nchini Tanzania wakimsikiliza kwa makini mkurugenzi  wa Asas Dairies Ltd Bw  Salim Asas Abri wakati  akitoa maelezo ya  shamba  lake la mifugo baada ya  wahariri hao kutembelea  shamba  hilo eneo la Nduli Iringa jana
 Bw Asas akitoa maelezo ya jinsi anavyoendesha  shamba  hilo bora  la mifugo Iringa  kwa  wahariri  wa habari nchini
 Mhariri  wa gazeti la Taifa  Tanzania  akimtazama  ng'ombe wa  kisasa katika  shamba  hilo la Asas Dairies Ltd
 Wahariri  wa  vyombo  vya habari nchini  wakitazama ng'ombe wa  kisasa katika  shamba la mifugo la Asas Dairies Ltd baada ya  kutembelea  shamba  hilo jana eneo la Nduli nje kidogo na mji  wa Iringa
 Baadhi ya  wahariri  wa  vyombo  vya habari nchini wakipiga  picha ng'ombe za  kisasa katika  shamba la Asas Dairies Ltd baada ya  kutembelea  kujifunza ufugaji katika  shamba  hilo jana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...