Mwanamuziki Sean Kingston kutoka Marekani wakiongea na waandishi wa habari hawako pichani kwenye mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya Dubble Tree Hilton Jijini Dar es salaam leo wakati alipozungumzia ujio wake katika kushiriki kwenye utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Music Award utakaofanyika kesho kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee na kufuatiwa na onesho kubwa jumamosi akishirikiana na washindi mbalimbali wa tuzo za kilimanjaro Music Award, kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja.
No comments:
Post a Comment