MAMBO YANAENDEREA
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI
UHURU BIA ILIPOZINDULIWA
Msanii wanne Star akitoa burudani pamoja na wacheza shoo wake
Warembo wa Kampuni ya bia ya Serengeti wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzindezi wa bia ya Uhuru katika mkoa wa Dar es salaam jana
Ofisa uhusiano na mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti akiserebuka na kocha mkuu wa taifa starz
No comments:
Post a Comment