Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 16, 2011

KAMPUNI YA FILAMU YADHINDULIWA

Kutoka (kushoto) msanii wa muziki wa kizazi kipya Jaffaray, Mkurugenzi wa kampuni ya Bonta Arts Production, Davis Patrick, Producer wa filam katika kampuni hiyo, David Eric, wakionyesha nembo za kampuni hiyo katika Tisheti ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo ya kuandaa Filam iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam jana usiku.
Moja kati ya Nembo za kampuni hiyo.
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, akisalimiana na Mtangazaji wa Redio Clouds, Gadna G Abash, wakati alipowasili katika ukumbi wa Green Acers jana usiku kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa Kampuni ya kutengeneza Filam inayojulikana kwa jina la Bonta Arts Production ya jijini Dar es Salaam.
Mwendesha shughuli hiyo, ‘MC’, Mbonike Mwangunga, akiongoza shughuli hiyo ya uzinduzi.
Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi huo, (katikati) ni Msanii wa muziki wa kizazi kipya Jafaray.

http://sufianimafoto.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...