Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 6, 2011

ZANTEL YAGAWA VYANDARUA HOSPITAL YA MWANANYAMALAMaofisa wa Kampuni ya Zantel wakiwa pamoja na madaktali wa Hospital ya Mwananyamala baada ya kugawa vyandarua Dar es salaam

Mwezeshaji wa Promosheni ya Zantel ya 'Hamisi Ma SMS' Bw. Nixon Haule (wa pili kulia) akimkabidhi vyandarua Mganga Mfawidhi Mwananyamala Hospital.Dkt. Ngonyani anaeshuhudia kushoto ni Dkt. Angel Magesa na kulia ni Mtaalamu wa Bidhaa wa Kampuni ya Zantel Bw.Deogratius Ringia jumla ya vyandarua 100 vyenye thamani ya shilingi laki tano viligawiwa hospital hiyo
Mwezeshaji wa Promosheni ya Zantel ya 'Hamisi Ma SMS' Bw. Nixon Haule (kushoto)
akimkabidhi vyandarua Mganga Mfawidhi Mwananyamala Hospital.Dkt. Ngonyani Sophinias
wanaoshuhudia wa pili kushoto ni Muhugudhi Mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt. Clara Mwita na Dkt. Angel Magesa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...