Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 30, 2011

MWAKA MPYA WA KICHINA ULIVYO SHEREKEWA DAR ES SALAAM

Wanautamaduni wa China wakitumbuiza kwenye sherehe za Mwaka wa Kichina zinazoendelea hivi sasa katika bustani ya Mnazi Mmoja garden jijini Dar na kuhudhuriwa na mamia ya wachina na Watanzania na wageni waalikwa toka mataifa mbalimbali
Wachina wakisherehekea mwaka mpya wao leo

Baadhi ya mamia ya Wachina wanaoishi Tanzania wakirusha vishada katika kusherehekea Mwaka Mpya wa China jioni katika bustani ya Mnazi Mmoja garden jijini Dar
Vijana wa Kitanzania wakionesha ustadi wao katika Shaolin Kung Fu leo viwanja vya bustani ya Mnazi Mmoja garden katika kusherehekea Mwaka Mpya wa KichinaVijana wakionesha vipaji vyao katika Kung Fu leo
mdau aliyepata kusomea China akionesha ujuzi wake leoBaadhi ya wachina katika sherehe hizohttp://issamichuzi.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...